Hii hapa 5G ya Azam FC ikiichapa Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa NBC Premier League. Wafungaji wa magoli ni Prince Dube, Ismail Gambo akijifunga, Gibril Sillah na Feisal Salum.