DODOMA JIJI VS NAMUNGO fc: Namungo FC wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Jamhuri, Dodoma. Goli pekee la Namungo limefungwa Sixtus Sabilo dakika ya kwanza. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz