Content removal request!


Goli la Ismail Aziz Kader | Horseed SC 0-1 Azam FC | CAF CC 18/09/2021

Goli pekee la Ismail Aziz limeipa Azam FC ushindi wa bao 1-0 na kuipeleka raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shiriksiho barani Afrika kwa jumla ya maba 4-1 kufuatia ushindi wa 3-1 iliyoupata katika mchezo wa kwanza. Mechi hii ambayo Azam FC wamecheza kama wageni, imepigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kwa makubaliano maalum, ambapo Horseed waliamua kuutumia uwanja huo kama uwanja wao wa nyumbani. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz