Content removal request!


WEDNESDAY NIGHT: HAJI MANARA AKILONGA KUHUSU SIMBA SC v JS SAOURA

Mkuu wa Idara ya Habari ya Simba SC a.k.a Msemaji wa Mabingwa wa Tanzania, Haji Manara hii leo alikuwa na Patrick Nyembera akieleza kiundani mikakati ya Simba SC kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC na JS Saoura. Je, Simba SC ni timu kubwa zaidi Afrika? Manara hawezi kukuacha umenuna, lazima utafurahi tu 'hata uwe mpinzani wa jadi' Wednesday Night Live ni kila Jumatano saa 3:30 usiku ndani ya AzamSports2..