Content removal request!


Yanga 4-0 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 20/05/2022

Yanga SC imeitandika Mbeya Kwanza mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 34, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 39, Dickson Ambundo dakika ya 45 na Heritier Makambo dakika ya 74.