Content removal request!


Singida Big Stars 0-1 Yanga | Highlights | Nusu Fainali ASFC 21/05/2023

Goli pekee la dakikaya 82 kutoka kwa Fiston Mayele limeipelekea Yanga fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa kuitandika Singida Big Stars bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Liti, mkoani Singida. Tazama highlights....