Content removal request!


Highlights: Ihefu SC 1-0 Ruvu Shooting - VPL 13/09/2020

Timu ya Ihefu FC imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, goli likifungwa na Enock Jiah. Huu ni ushindi wa kwanza wa Ihefu kwenye VPL, mchezo ukipigwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz