JKT vs YANGA: Yanga SC imeipa kichapo cha mabao 2-0 JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yacouba Songne pamoja na Tuisila Kisinda. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz