Content removal request!


Magoli | Tazama Yanga ilivyoisambaratisha JKT Tanzania 2-0 VPL 19/05/2021

Haya hapa magoli mawili ya Yanga SC ikiipa kichapo cha mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yacouba Songne pamoja na Tuisila Kisinda. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz