Content removal request!


HIGHLIGHTS: JKT TANZANIA 0-1 AZAM FC; (TPL - 24/10/2018)

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam Fc wamepata ushindi wa bao 1-0 ikiwa ugenini kwenye Dimba la meja Jenerali Isamuhyo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania. Bao pekee la Azam Fc limefungwa na Yahya Zayd dakika ya 53 akimalizia pasi ya Donald Ngoma. Katika mchezo huu Azam walipata pigo kwa mchezaji wake Enock Atta kutolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 35. Tazama highlights.