Content removal request!


Angalia jinsi Azam ilivyopata sare ya 1-1 dhidi ya Mbeya City, Uwanja wa Samora, Iringa

Timu ya Azam FC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo 02/02/2020 kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa.