Content removal request!


MAGOLI: JKT TANZANIA 1-1 ALLIANCE FC (TPL - 07/10/2018)

Vijana wa JKT Tanzania leo wamebanwa mbavu na Alliance ya Mwanza kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Jijini Dar es Salaam. Wenyeji JKT ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao kwa mpira wa ‘free-kick’ kupitia kwa Abdulrahman Mussa dakika ya 70 kabla ya Alliance kusawazisha dakika ya 90 kupitia kwa Juhudi Philimon aliyeingia kipindi cha pili. Haya hapa mabao yenyewe.