Content removal request!


Shabiki wa Yanga afunguka kisa cha kuipokea Plateau United uwanja wa ndege

Shabiki wa Yanga Jimmy Kindoki amesema kitendo cha baadhi yao mashabiki wa Yanga waliokwenda kuwapokea wachezaji wa Plateau United walioingia nchini kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali dhidi ya Simba SC, kilikuwa ni sehemu ya utani baina ya vilabu hivyo na haihusiani na suala la uzalendo. #SimbaSC #PlateauUnited #YangaSC Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz