Ni Usiku wa Juni 27 kuamkia Juni 28 2019 baada ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kufungwa mabao 3-2 na timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars. Baada ya mchezo Azam TV imezungumza na baadhi ya wachezaji wa timu zote mbili, akiwemo Saimon Msuva, Erasto Nyoni, Francis Kahata na wengine, kueleza kilichotokea.