Content removal request!


Highlights | Simba SC 2-1 Kagera Sugar | ASFC 01/05/2021

Mabingwa watetezi wa michuano ya Azam Sports Federation Cup #ASFC​ , Simba SC wamefuzu hatua ya robo fainali kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 2-1. Kagera Sugar wametangulia kupata bao kupitia kwa Erick Mwijage kabla ya Simba kusawazisha kupitia kwa Bernard Morrison na kisha kuongeza la pili kupitia kwa Medie Kagere akimalizia pasi ya Bernard Morrison. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz