Cecafa Kagame Cup 2018: Magoli ya Azam FC wakiizamisha Gor Mahia (2-0)
#CecafaKagameCup2018 Magoli ya Ditram Nchimbi na Bruce Kangwa yanaipeleka Azam FC fainali kwa mara ya pili mfululizo.
FT'- Gor Mahia 0-2 Azam FC
Powered by #AfricanFruti from Bakhresa Group of Companies