Content removal request!


Azam TV - CECAFA2017: Mavugo aiongoza Burundi kuiua Ethiopia

Burundi imeishangaza Ethiopia kwa kuishushia kipigo kitakatifu cha mabao 4-1 katika mchezo wa kundi B michuano ya CECAFA inayoendelea nchini Kenya. Mchezo huu umepigwa katika dimba la Bukhungu, Kakamega.