Leo inapigwa fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza kati ya Dodoma Jiji FC dhidi ya Gwambina FC, mchezo utakaokuwa LIVE #AzamSports2 . Lakini pia zinapigwa mechi saba za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) ikiwemo Ruvu Shooting vs Singida United na Yanga vs Mwadui FC (Saa 1:00 usiku). Fuatilia uchambuzi wa kina kuelekea mechi hizo ukiungana na Ahmed Ally akiwa na Ally Kamwe na Dominick Salamba. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz