Content removal request!


Mikwaju ya penati: Stand United 4-3 Dodoma FC (ASFC: 26/02/2018)

Stand United imekuwa timu ya nane kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuidunga Dodoma FC kwa penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa suluhu. Mchezo huo wa raundi ya nne ambao ni ya 16 Bora umepigwa katika dimba la CCM Kambarage mjini Shinyanga. Shuhudia mikwaju ya penati.