Tanzania Prisons wamekula mweleka tena wakiwa nyumbani kwa kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Kagera Sugar.