Content removal request!


Tazama maajabu ya Singida United kuichapa Ruvu Shooting 2-0 Mabatini

Timu ya Singida United imeamka usingizini na kuichapa Ruvu Shooting mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Mabatini, Pwani. Magoli hayo matamu ya Singida United yamewekwa kambani na Seiri Arigumaho pamoja na Ramadhan Hashimu. Highlights 18/07/2020. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz