Content removal request!


Magoli yote Ihefu SC wakiitandika Kagera Sugar 2-1 Sokoine - VPL 14/12/2020

Timu ya Ihefu SC imepata ushindi wake wa pili msimu huu ikiichapa Kagera Sugar mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye uwanja wa Sokoine, Mbeya. Magoli ya Ihefu yamefungwa na Joseph Kinyozi pamoja na Isa Ngoah wakati bao la kufutia machozi kwa Kagera likifungwa na Sadat Mohamed Nanguo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz