Content removal request!


Skudu wa Yanga afichua mazungumzo yake na Ranga Chivaviro

Mchezaji mpya wa Yanga SC, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ amefichua mazungumzo yake na rafiki yake Ranga Chivaviro ambaye kesho atakuwa upande wa Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa kirafiki katika kilele cha #WikiYaMwananchi. Msikie mwenyewe wakati akijibu maswali ya waandishi kwenye mkutano na waandishi kuelekea mechi ya kesho.