Content removal request!


Azam TV - CECAFA2017; FULL HIGHLIGHTS: Uganda 5-1 South Sudan

Timu ya taifa Uganda 'The Cranes imeibutua Sudani Kusini jumla ya mabao matano kwa moja katika mchezo wa kundi B wa michuano ya kombe la CECAFA uliopigwa leo katika dimba la Bukhungu, Kakamega nchini Kenya.