Content removal request!


Magoli makali ya Singida United ikiipiga Ruvu Shooting 2-0 Mabatini - 18/07/2020

Timu ya Singida United leo imeamka usingizini na kuichapa Ruvu Shooting mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimb la Mabatini, Pwani. Magoli hayo matamu ya Singida United yamewekwa kambani na Seiri Arigumaho pamoja na Ramadhan Hashimu. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz