Azam TV - MAPINDUZI CUP: JKU 0-2 SINGIDA UNITED (Goals & Interviews)
Singida United imepata ushindi wake wa nne mfululizo katika mashindano ya Kombe Mapinduzi yanayoendelea dimba la Amaan visiwani Zanzibar kwa kuichapa JKU mabao 2-0, mchezo uliopigwa leo Januari 06, mwaka huu