Content removal request!


Azam FC 1-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC premier League 30/11/2021

Azam FC imepata alama tatu muhimu kwa kuichapa mtibwa Sugar bao 1-0 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la Azam limefungwa na Idris Ilunga Mbombo dakika ya 52 akimalizia kwa kichwa krosi ya Bruce Kangwa.