Content removal request!


Massau Bwire azidisha tambo Ruvu Shooting 'wakiipapasa' Ndanda FC nyumbani kwao

Timu ya Ndanda FC wamekubali kupokea kichapo cha mabao 3-1 katika uwanja wake wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara ukiwa ni mwendelezo wa harakati za ‘mpapaso’ wa wanamgambo wa timu ya Ruvu kwa kila timu ambayo watakutana nayo. Msemaji wa klabu ya Ruvu Shooting Massau Bwire amesema ‘wataipapasa’ kila timu itakayokuwa mbele yao.