Content removal request!


SOKA KIJIWENI: Miraji Adam anavyoheshimika mtaani kwa kula miguu ya kuku

Hii ni Soka Kijiweni ya tarehe 6/8/2018 ambapo Dodi alitembelea mji wa Morogoro na kukutana na kipaji cha soka kilichowahi kutamba katika vilabu vya Simb, Coastal Union, Mtibwa Sugar na sasa kiko Singida United United. Moja ya jambo lililofichuka mtaani kwake kutoka kwa washkaji zake ni historia ya beki huyo kula kuku, ambapo imeelezwa kuwa huyo jamaa ni mtaalamu wa kula miguu na vichwa vya kuku. Soka Kijiweni ni kila Jumatatu saa 1:00 Usiku, Azam Sports 2.