Content removal request!


KIPYENGA CHA MWISHO 02/12/2021 | Utata 'goli' la Geita Gold dhidi ya Simba

Ndani ya kipindi hiki, mwamuzi Mstaafu Osman Kazi anachambua matukio yote yaliyokuwa na utata katika mechi za raundi ya saba ya ligi kuu ya NBC, kubwa ikiwa ni utata wa kile kinachodaiwa kuwa ni goli la Geita Gold dhidi Simba. Je, mwamuzi Martin Saanya alikuwa sahihi? Tunaanza na makosa yanayostahiki kadi ya njano dimbani. Je, nini maana ya adhabu ya kadi ya njano? Tazama kipindi.