Content removal request!


Simba 0-1 Arta Solar | Highlights - Mechi ya kirafiki - 03/09/2022

Tazama matukio na nafasi mbalimbali zilizotengezwa na timu zote mbili kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Simba SC ya Tanzania na Arta Solar ya kutokea Djibout. Mechi imemalizika kwa Artar Solar kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji hao.