Content removal request!


Highlights | Mtibwa Sugar 1-0 JKT Tanzania - VPL 19/12/2020

Goli pekee la Riphat Msuya limeipa Mtibwa Sugar pointi tatu muhimu katika ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Tazama matukio yote muhimu kutoka kwenye mechi hiyo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz