Haya ndio matukio muhimu ya mechi kati ya Zanzibar na Rwanda ikiwemo magoli yote manne na kosakosa bila kusahau vikosi vilivyochuana.