Content removal request!


AZAM FC 2-0 COASTAL UNION; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 8/10/2018)

Azam FC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamefungwa na Donald Ngoma dakika ya 30 na Danny Lyanga dakika ya 70 huku kukiwa na matukio mawili ambayo yalionekana kama penati kwa timu zote lakini mwamuzi hakuamuru penati.