Content removal request!


MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 17/07/2023

Mambo yazidi kunoga kambi za Simba na Azam Uturuki na Tunisia....Kule Tunisia kocha wa zamani wa Simba atembelea kambi ya Azam FC... huku Singida Fountain Gate ikitua Arusha kuanza Preseason. Pia utasikia anachokisema Kocha mpya wa Tanzania Prisons, Fred Felix Minziro katika siku yake ya kwanza kazini.. Huyu hapa Moses Kwindi na #MshikemshikeViwanjani