Content removal request!


AHMED ALLY APIGIWA SIMU NA WAZIRI MKUU/ALLY KAMWE AINGILIA/"MHESHIMIWA TUMIA JINA LA ALLY KAMWE"

JAMBO LA NCHI Ni zoezi la Uchangiaji Tiketi kwaajili ya kuipa Sapoti Timu ya Taifa Ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye Mechi ya Marudiano ya Kufuzu Afcon dhidi ya Uganda Siku ya Jumanne Saa 1:00 Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Cliford Ndimbo Ofisa Habari wa TFF,amewakutanisha Maofisa wengine kutoka Simba Sc Ahmed Ally,Yanga Sc Ally Kamwe na Azam Fc Hasheem Ibwe ili kuendesha Harambee hiyo kwenye Mkutano na Wanahabari uliofanyika Leo Dar es salaam. Jumla ya Ticket 10500 zimekusanywa kwenye Hatua ya Awali,Zoezi ilo likiwa ni endelevu Mpaka kufikia siku ya Mechi.