Content removal request!


Ihefu SC 1-2 Gwambina FC | Highlights | VPL 03/03/2021

IHEFU VS GWAMBINA; Gwambina FC wakiwa ugenini kwenye Dimba la Highland Estate mkoani Mbeya, wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu SC, katika mchezo wao wa 22 Ligi Kuu Tanzania Bara. Magoli ya Gwambina yamepatikana kupitia kwa Rajab Athuman na Paul Nonga huku goli la Ihefu likifungwa na Andrew Simchimba. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz