Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi kati ya Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate. Mechi imemalizika kwa Simba kushinda magoli 2-0 Magoli yamefungwa na Willy Onana na Luis Miquissone