Content removal request!


Yanga 1-1 Mwadui | Magoli yote - VPL 18/07/2020

Goli la Feisal Salum limesawazishwa na Yahya Mbegu na kufanya mchezo kati ya Yanga na Mwadui FC umalizike kwa sare ya bao 1-1 ukiwa ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliotimuka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz