Content removal request!


Bao pekee la ushindi kwa Mwadui FC dhidi ya Mbao FC (VPL 30/04/2018)

Mwadui FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao FC, bao pekee likifungwa na Charles Ilanfya kutoka na makosa ya mawasiliano yaliyofanyika kati ya golikipa na mabeki wao. Ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo kwenye dimba la Mwadui Complex, Shinyanga.