Content removal request!


Highlights | Yanga SC 3-0 Mtibwa Sugar| NBCPL - 13/09/2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Yanga SC ikiichapa Mtibwa Sugar mabao 3-0 kwenye mchezo wa NBC Premier League uliopigwa dimbani Benjamin Mkapa. Wafungaji ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Stephane Aziz Ki