Hii nin Sports AM maalum kwa ajili ya kuchambua mchezo wa Simba SC dhidi ya JS Saoura na kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Simba SC na timu ya Taifa a.ka. Tiafa Stars, Yusuf Macho a.k.a Musso. Mchezo huu ni muhimu sana kwa Simba SC na wachambuzi wakiongozwa na Mahmoud Bin Zubeiry wanautazama mchezo huu kiundani huku wakikukumbusha historia ya mafanikio ya Simba SC katika kombe hilo. Sports AM huruka kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 1:00 asubuhi.