Content removal request!


Tabora United 3-1 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 15/09/2023

Tabora United (Kitayosce) imeishushia kipigo cha mabao 3-1 Tanzania Prisons, mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora...... Magoli mawili ni kutoka kwa John Ben Nakibinge dakika ya 42 na 90 , na moja la Eric Okutu , huku Tanzania Prisons wakipata bao la kutoka kwa Samson Mbangula dakika moja tu baada ya kuingia akitokea benchi.