Simba SC yairarua Ruvu Shooting bila huruma, Okwi aja na 'Kwi-trick', Azam FC yajiimarisha kileleni kwa ushindi mwembamba na Azam Media yaanzisha safari ya kuichangia Taifa Stars, yatoa dola za Marekani 3,000. Kwa hayo na mengine mengi ya kimichezo ungana na Ahmed Ally katika MSHIKEMSHIKE VIWANJANI.