ALLY KAMWE AMBANANISHA HASHEEM IBWE/AUKUBALI MUZIKI WA YANGA SC/MSIUWANE KWA SABABU YA HELA...
Leo March 08 2023,Yanga SC anamkaribisha AS Real Bamako kutoka Nchini Mali Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye Mchezo wa Kundi D wa Kombe la Shirikisho Afrika, Mchezo Unaochezwa Saa Moja Jioni.