Content removal request!


MIKWAJU YA PENATI: AZAM FC 0-0 AS MANIEMA (5-4) - (CECAFA KAGAME CUP - 19/7/2019)

NUSU FAINALI YA KOMBE LA KAGAME: Mabingwa watetezi, Azam FC wamefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Kagame baada ya ushindi wa penati 5-4 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 dhidi ya AS Manyema Union ya DRC. Mchezo huo wa nusu fainali uliokuwa mkali kwa dakika zote, ulipigwa jana kwenye Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali nchini Rwanda.