Mechi mbili za Ligi Kuu Tanzania Bara zinapigwa leo kuanzia saa 10:00 jioni na zote zitakuwa LIVE. Mechi hizo ni: Yanga vs KMC LIVE Azam Sports 2 na Mwadui FC vs MBeya City LIVE Azam Sports HD. Fuatilia uchambuzi wa kina kuelekea mechi hizo. TuKO MBASHARA kupitia #AzamSports2 , #AzamTVApp na Youtube.