Magoli Yanga SC ikiichabanga Tanzania Prisons 1-2 | NBC Premier League
Tazama magoli yote wakati Yanga SC ikibeba alama tatu za NBC Premier League kwenye mchezo uliomalizika kwa ushindi wa mabao 1-2 dimbani Nelson Mandela.
Samsong Mbangula akaifungia Prisons.
Feisal Salum na Khalid Aucho wakaifungia Yanga SC