Content removal request!


Magoli ya Dodoma Jiji ikiipapasa Ruvu Shooting 2-0 Mapatini - VPL 03/03/2021

RUVU SHOOTING VS DODOMA JIJI: Magoli mawili kutoka kwa Dickson Ambundo na Peter Mapunda yametosha kuipapasa Ruvu Shooting na kuipa Dodoma Jiji ushindi wa 2-0 kwenye uwanja wa Mabatini ulioko Mlandizi mkoani Pwani, katika muendelezo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz