Content removal request!


ALLY KAMWE: TUNATAKA TUWACHANGANYE/MKATABA WA MUDA MFUPI/UNAWEZA UKAKOSA JEZI YA KIMATAIFA...

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe akielezea namna Hafla yao ilivyofana ya Kusaini Mkataba na Kampuni ya Haier wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 na Kuzindua Jezi Mpya za Timu Zitakazotumika kwenye Michuano ya Kimataifa.